Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, June 18, 2015

Diamond Platnumz kwenye kollabo nyingine na msanii Donald kutoka South Africa!!


donald-na-diamond2
Diamond Platnumz ameendelea kufungua milango mingine ya collabo na mastaa wengine Africa.
Tumehesabu siku siku chache zimezopita toka ilipoachiwa brand new collabo ya Love Boat ambayo Diamond kashirikishwa na msanii wa Nigeria, Kcee.
Kasi ya Diamond haijaishia hapo kwani sasa hivi ameingia tena studio South Africa na msanii Donald kutengeneza ngoma nyingine kupitia Universal Music Studios  nchini South Africa, na hapa nina baadhi ya picha za wasanii hawa wawili wakiwa studio wanarekodi nyimbo yao mpya pamoja na kipande cha video ambacho ndani tunaisikia nyimbo yao mpya kidogo.
donald-na-Diamondd-n-d-3

No comments:

Post a Comment