Imekua ikiripotiwa na vyombovyombo mbalimbali kwa Falcao anakaribia kutua Chelsea FC na hii ni baada ya kuwa amerudi kwenye clabu yake ya Monaco baada ya mkopo wake msimu uliopita katika klabu ya Manchester United kutozaa matunda.
Ni swala la muda kabla ya kujulikana ni klabu gani Falcao anaelekea
No comments:
Post a Comment