HIZI NDIZO PICHA AMBAZO ZINATAZAMWA SANA NA ULIMWENGU KWASASA KWENYE INTERNET
Kim
Kardashian ziadi ya kuutumia muda wake wa mapumziko akiwa nchini
Thailand pia alitumia muda huo kufanya photo shooting akiwa beach. Japokuwa
picha kamili zilizokuwa zinapigwa bado hazijatoka lakini hizi za behind
the scene tayari zimevutia watu wengi na zinaangaliwa sana kupitia
internet.
No comments:
Post a Comment