Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, July 16, 2015

CCM INAKARIBIA KUGAWANYIKA. MAAMUZI ALIYOCHUKUA MH EDWARD LOWASSA BAADA YA JINA LAKE KUKATWA.


NAMNUKUU.
"Jamani ndugu zangu baada ya jina langu kukatwa nilichukua hatua ya kwenda kuuliza kamati kuu ya uchaguzi kwamba sababu zipi zilizofanya kuondolewa kwa jina langu. Hizi ndizo sababu nilizopewa " 1. Muheshimiwa wewe ulikiuka katiba ya chama kwa kuanza kupiga kampeni tangu mwaka 2012 kupitia misaada ya kifedha uliyokua ukiitoa kama vile msaada wa milioni 500 kwa taasisi ya utoaji mikopo FOCUS VICOBA.
2. Inasadikika kwamba baadhi ya taasisi ulizokua ukizisaidia ni moja kati ya taasisi zako wewe mwenyewe.
3. Ukiwa RAIS utarudisha mambo yaliyopita ambapo utasababisha upotevu wa mda na kupelekea maendeleo machache katika nchi yetu"
Hizo jamani ndio sababu nilizopewa lakini mimi sioni kama ni sababu za msingi na nilikua nikifanya hivyo kwa kuwasaidia watanzania na si vinginevyo. Wito wangu kwa watanzania endeleeni kujiunga na taasisi za mikopo ambazo wanazosema ni zangu na fedha nimeiba kutoka serikalini na huku wakijisahau kwamba nilibeba dhambi nisizostaili. Jiungeni online kupitia
www.focusvicoba.blogspot.com/2015/03
Kama ulivyokua mkifanya awali. Huu ulikua ni mwanzo tu katika kuwasaidia watanzania wenzangu lakini naomba wanatumia msaada wangu kunichafua.
Naona mwisho unakaribia baada ya wiki moja nitatoa msimamo wangu. Siwezi nikawakataza watanzania kujiunga na taasisi ambazo nilizisaidia katika uwanzishwaji kutokana na shutuma nazopewa na zilizosababisha kondolewa kwa jina langu. Narudia jiungeni kupitia
www.focusvicoba.blogspot.com/2015/03
Ni moja kati ya changamoto katika maisha naamini zitakwisha. Najua watanzania mnataka nini, naombeni ushirikiano wenu.
SAFARI YA MATUMAINI". Hizo ni baadhi ya picha alipokua akisaidia taasisi hizo

No comments:

Post a Comment