DIAMOND PLATNUM AWALIZA WATU HADI KUZIMIA.
Diamond
Platnum mkali wa muziki wa kizazi kipya amwagiwa sukari nakuzidi kuwa
mtamu,Mashabiki washangilia na kulia hadi baadhi ya warembo kuzimia
kwenye show ya mjini Singida jana.Shabiki ang'ang'ania kushika kiatu
chake akiwa ahamini kama aliye mbele yake ni Diamond Chibu Dangote.
No comments:
Post a Comment