Mwigizaji
Bongo, Esha Buheti, licha ya kuwa ndani ya ndoa, amekiri kuchepuka na
mcheza mpira mmoja ambaye hakutaka kuweka wazi jina lake.
Akizungumza
na na gazeti la Ijumaa, Esha aliweka wazi hisia zake kuwa kwa sasa ana
kifaa kipya chenye hadhi na amekuwa akitupia picha zake mitandaoni kisha
anazitoa.
“Najua wambeya watataka kumchunguza mpenzi wangu wa sasa ndiyo maana namuweka mtandaoni kisha nafuta harakaharaka,” alisema Esha.
Esha alifunguka kuwa, pamoja na ‘kidumu’ alichonacho bado yuko kwenye ndoa yake na anamheshimu mumewe aliyezaa naye mtoto mmoja.
No comments:
Post a Comment