Friday, July 3, 2015
KIKAO CHA BUNGE CHAVUNJIKA TENA
Miswada mitatu ya Mafuta na Gesi imeshindwa kusomwa tena kwa mara ya pili baada ya Spika Anne Makinda kulazimika kuahirisha kikao kutokana na wabunge wa upinzani kuzomea kwa kupinga uwasilishwaji wa miswada hiyo. Wabunge waliohusika na vurugu waadhibiwa ikiwa ni pamoja na kusimamishwa vikao vya bunge. Wabunge John Mnyika, Tundu Lisu, Mosses Machali na wengineo Wapewa adhabu ya kutohudhuria vikao vyote vya bunge 2015.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment