Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, July 22, 2015

Nay wa Mitego kamvalisha pete Shamsa?


Jana kupitia ukurasa wake wa @Instagram Shamsa Ford alimshukuru Nay wa Mitego kwa kumvalisha pete…Nay amesema amempa tu pete kama zawadi na si kumvalisha.Amesema anaona hiyo ni zawadi ambayo ataweza kumkumbuka nayo tofauti na zawadi nyingine…amesema kama itakuwa vinginevyo atakuwa tayari kuweka wazi.

No comments:

Post a Comment