Ijumaa July 24 2015 Kenya itashuhudia kutua kwa Rais Obama kwa
mara ya kwanza tangu awe Rais wa Marekani… Wamarekani wanajali sana
kuhusu Usalama wa Rais wao, tulisikia ishu ya kutua kwa wanausalama wa
kutosha pamoja na magari ambayo yalianza kushushwa zaidi ya mwezi
mmoja kabla ya siku ya Obama kutua.
Bado leo Viwanja vya Michezo vya Chuo
Kikuu cha Kenya zimeshuhudiwa Helicopter kadhaa za wanausalama zikitua
na kuruka kuzunguka anga la Nairobi… waliobebwa humo ni makomandoo ambao
nao wameshushwa kuhakikisha hakiharibiki kitu kwenye ishu ya Usalama wa
Rais wao.
No comments:
Post a Comment