Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, July 27, 2015

Picha ya Diamond na Zari Wakiwa UCHI Yawavuruga Mashabiki...


Stori zilizo zagaa mtaani ni  kuwa wawili hawa( Diamond  na  Zari ) wanatarajia kupata mtoto wao hivi karibuni, lakini  picha  hii  imeibua  hisia  tofauti  miongoni  mwa  mashabiki  wa  mastaa  hawa.

Kundi  kubwa  kubwa  linawalaumu  wasanii  hawa  kwa  kupiga  picha  kama  hii  huku  likidai  ni  kumdhalilisha  mtoto  aliyeko  tumboni.

Aunt  Ezekiel  aliwahi  piga  picha  kama  hii  nakujikuta  akioga  mvua  ya  matusi  toka  kwa  mashabiki  wake.

Hizi  ni  baadhi  ya  comment  za  mashabiki  wao.

No comments:

Post a Comment