Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, July 10, 2015

Rais kikwete ahutubia bunge na kulivunja leo tarehe 9/7/2015

RAIS WANGU JKShughuli ya kwanza iliyompeleka Dodoma Rais Kikwete Dodoma ameikalimilisha leo July 09 2015, ilikuwa alihutubie Bunge pamoja na kulivunja Bunge hilo ambapo Wabunge wanarudi Majimboni kwa ajili yakuendelea na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa October 2015.

No comments:

Post a Comment