RAIS UHURU KENYATTA AKATAA MBELE YA RAIS OBAMA JUU YA MAPENZ YA JINSIA MOJA
Katika mkutano na wanahabari katika ikulu ya Nairobi rais Kenyatta
amekana kwa kinywa kipana kuwa serikali yake haitakubaliana katu na
shinikizo la rais Obama kwa Kenya kuwatambua wapenzi wa jinsia moja.
No comments:
Post a Comment