Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, August 17, 2015

JK AFANANISHA SPEED YA WAPINZANI NA MOTO WA MABUA

Rais Jakaya Kikwete amesema anaamini mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli ndiye atakayeshinda katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, na kwamba vuguvugu la kisiasa linaloendelea hivi sasa ni Moto wa Mabua.

No comments:

Post a Comment