Joseph Mungai na mkewe wametangaza kuhama CCM na kujiunga na CHADEMA
Aliyekua Waziri wa Elimu Joseph Mungai na mkewe wametangaza kuhama CCM
na kujiunga na CHADEMA Mafinga leo ambapo mgombea urais kupitia UKAWA
/CHADEMA Edward Lowassa yupo mkoani Iringa kwaajili ya kampeni
No comments:
Post a Comment