Hatua ya upangwaji makundi ya UEFA yaliambatana sambamba na kumchagua mchezaji bora wa mwaka wa Ulaya, waliyokuwa wanawania tuzo hiyo ni Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Luis Suarez. Lionel Messi ametangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya kwa mwaka 2014/2015, hiyo ni kauli ya Messi baada ya kutangazwa mshindi.
No comments:
Post a Comment