Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, August 16, 2015

MAELFU YA WATU WAMPOKEA LOWASSA ARUSHA

Maelfu ya wananchi mkoa wa Arusha wajitokeza kumpokea Mh. Edward Lowasa mgombea Urais CHADEMA.
Lawrence Masha, Daniel Porokwa Katibu wa CCM Manyara, Yona Nko Mwenyekiti CCM Arusha, Sipira katibu CCM Arusha na wanachama wengine wa CCM wamejiunga na CHADEMA

No comments:

Post a Comment