Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC) imeagiza
kurudiwa kwa uchaguzi katika majimbo matano yaliyopo Tanzania Bara
kutokana na dosari mbalimbali zilizojitokeza katika mchakato wa kura ya
maoni.
Majimbo yanayotakiwa kurudia uchaguzi wa kura ya maoni ni pamoja na Makete, Busega, Ukonga, Rufiji na jimbo la Kilolo
No comments:
Post a Comment