Utata mpya waibuka mtoto wa Zari
MAWAKILI wa kampuni ya Web
Advocates & Solicitors wa nchini Uganda wamemwandikia barua mzazi
mwenza wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Zari Hassan ‘Zari
The Boss Lady’ kutaka mwanaye Tiffah afanyiwe vipimo vya DNA ili
kuthibitisha mzazi wa mtoto huyo ikiwa ni sehemu ya madai ya tajiri King
Lawrence.
No comments:
Post a Comment