Nape Nnauye katibu itikadi na uenezi CCM amekanusha habari ya kuwa Ndugu
John Magufuli ameahidi kuwapatia Walimu laptop nchi nzima kama
atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania. Nape amesema kuwa Ndugu Magufuli
hajawahi kuzungumzia suala la laptop hadharani hivyo basi, taarifa hizo
sio za kweli
No comments:
Post a Comment