Saturday, August 15, 2015
NEMC YAFUNGA KIWANDA CHA KUSINDIKA NYAMA CHA DODOMA KWA KOSA LA KUSINDIKA NYAMA YA PUNDA KIHARAMU
Baraza la taifa la usimamizi wa mazingira {NEMC} limekifungia kiwanda
cha Huwa Cheng Company Limited kilichopo mjini Dodoma na kukitoza faini
ya shilingi milioni 200 baada ya kubaini kiwanda hicho kinajihusisha na
usindikaji wa nyama ya Punda kinyume na utamaduni wa watanzania huku
mazingira yake yakiwa hatarishi kutokana na uchafu unaozalishwa kuzagaa
kwenye makazi ya watu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment