Friday, August 21, 2015
Shilole: Nikiiba mume wa mtu nisilaumiwe
hilole alisema kuwa adhabu aliyopewa na BASATA ni kubwa mno kiasi
ambacho anashindwa kuelewa kwa kuwa sanaa ndiyo kazi inayompatia kula na
hata kuwasomesha watoto wake hivyo kumfungia mwaka mzima ni kama
kumtuma kutembea hata na waume za watu ili maisha yake yazidi kusonga
mbele. “ Mimi naona sasa wananituma kuanza kusaka waume za watu
kwa kweli kwa sababu mwaka mzima kweli na hiyo ni kazi ambayo naitegemea
kwa kila kitu katika maisha yangu kwa nini mtu usiwaze vitu vingine kama huna kazi ya kufanya jamani, yaani inaniuma sana,” . Alisema Shilole
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment