Tofauti na kadi nyekundu na njano, kadi ya kijani kazi yake itakua ni kwa ajili kitu positive. Kazi yake kubwa ni kwa ajili ya kumpa kama kum-reward mchezaji pale anapofanya kitendo cha fair play.
Kadi hiyo itaanza kwanza kutumika kwenye Serie B kabla ya kuja Serie A. Mpango huu wa kuanzisha kadi ya kijani ni njia moja wapo ya kutekeleza agizo la UEFa kwamba nchi mbalimbali zi-promote fair play.
No comments:
Post a Comment