Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, September 7, 2015

muvi mpya ya James Bond(007) kuchezwa na David Beckham

BeardsBeckham anatajwa kuchukua nafasi ya Daniel Craig ambaye mkataba wake unakaribia kumalizika, Beckham ambaye ni baba wa watoto wa nne amekiri kuwa aliwahi kufikiria kucheza movie baada ya mashabiki kushauri hilo . Hata hivyo taarifa hizi sio ngeni kwa mashabiki wa Beckham kwani ameshawahi kukiri kushawishika katika masuala ya movie.

No comments:

Post a Comment