Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, October 30, 2015

MAGUFULI ATAKIWA KUSIMAMIA RASILIMALI

Muungano wa asasi zisizo za kiserikali (AZAKI) wamtaka Rais mteule wa Tanzania Dkt. John Magufuli kusimamia rasilimali za taifa ili ziwanufaishe wananchi wote na kuwatoa katika umasikini.

No comments:

Post a Comment