Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, November 5, 2015

Tarehe 4/11/2015 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mwanamuziki Queen Darleen, Diamond Plutnumz amzawadia gari mpya

star na mkongwe wa Bongo Flava aitwae Queen Darleen, anasheherekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.
 

Sasa kaka yake ambaye pia ni Icon wa Muziki Afrika hivi sasa Naseeb ‘Diamond’ Abdul, ameamua kumzawadia zawadi ya gari mpya dada yake.
kupitia ukurasa wake wa Instagram, Plutnumz ameweka picha ya gari hiyo na kuandika ‘Happy Birthday my luvly and beutiful sisy.. let dat small gift be your bornday memory from your young brother… “

No comments:

Post a Comment