Baraza la Vijana wa Chama cha CHADEMA (Bavicha), limeipa serikali saa 72 kutoa majibu yanayoeleweka juu ya wanafunzi wa elimu ya juu waliokosa mikopo kinyume na hapo wataitisha mgomo wa vyuo vikuu nchi nzima kuelekea Ofisi za Bodi ya Mikopo
Nini maoni yako?
No comments:
Post a Comment