Mtoto mzuri katika tasnia ya uigizaji Bongo, Jacqueline Wolper
Massawe ‘Twiga wa Jangwani’ amesema haoni sababu ya kuukana uanachama wa
taasisi ya Wajenzi Huru (Freemason) kwani ni dini kama zilivyo zingine
na kama katiba inavyoelekeza, kila mtu anayo haki ya kujiunga na dini au
taasisi yoyote ya kuabudu kulingana na matakwa ya imani yake.
Akiongea na mwandishi wetu, Wolper alisema ni kweli
yuko katika kundi hilo huku akishangaa watu kustaajabu kuona mtu yuko
Freemason wakati walioanzisha dini hiyo ni binadamu kama wengine.
No comments:
Post a Comment