Emmanuel Mbasha: Mimi na Flora ndiyo Basi Tena,Huu ndio wosia wangu kwake
Aliyekuwa mume wa mwanamuziki wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha
ameapa kwa kulamba kidole, kukichovya kwenye mchanga kisha kukipitisha
shingoni kuwa, hana mpango wa kurudiana na mkewe huyo katika maisha
yake.
No comments:
Post a Comment