Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, July 7, 2015

Mbunge wa CHADEMA kanusurika kwenye ajali ya hii Helicopter leo July 07 2015

CHADEMAARTaarifa ilianza kuenea jioni ya July 07 2015 kwenye kuhusu ajali ya Helicopter iliyokua imebeba Wanachadema mbalimbali akiwemo mbunge Arumeru Mashariki Joshua Nassari.
Kwenye ukurasa wa Twitter wa CHADEMA zimewekwa post kwamba Mbunge Joshua Nassari ndiye aliyepata ajali hiyo ya Helicopter, amepelekwa Hospitali kwa ajili ya matibabu pamoja na rubani na watu wengine ambao hawajatajwa, ni baada ya kunusurika.

No comments:

Post a Comment