Winga wa timu ya Manchester United amejiunga na Timu ya Uturuki ya
Fenerbahce baada ya nafasi katika timu yake kuonekana bado ni mtihani,
Nania litolewa kwa mkopo kwenda sporting Lisbon msimu uliopita japokuwa
alifanya vizuri akiwa huko na hata kufunga mabao 11 bado anaonekana
hayupo katika mipango ya Van Gaal
No comments:
Post a Comment