Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya
mazungumzo na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakati wa mkutano wa
dharura wa wakuu wan chi za jumuiya hiyo uliofanyika ikulu jijini Dar
es salaam jana
No comments:
Post a Comment