Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, July 7, 2015

viwango vipya vya fifa

Tokeo la picha la fifa
Wales kwa mara ya kwanza imefikia nafasi bora kuliko zote kwenye historia ya soka la nchi yao. Kutoka nafasi ya 22 hadi namba 10 hivi sasa. Kupanda kwa nafasi 12 kumetokana na ushindi mzuri wa mechi ya ku-qualify kwenye EURO 2016 dhidi ya Belgium. Miaka 4 iliyopita Wales ilikua namba 117 lakini hivi sasa wameingia 10 bora.
Kwa upande mwingine Brazil ambayo ilikua namba 5 hivi sasa imeshuka nafasi moja imedondoka hadi namba 6. Argentina ilikua ni namba 3 na hivi sasa imefika namba 1.
Huu ndio msimamo mpya wa top 10 ya FIFA World Ranking.
http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/RANK.jpg

No comments:

Post a Comment