Nchini Tanzania mtindo wa matumizi ya Dola ya
Marekani katika ulipaji huduma na bidhaa unaendelea kushamiri, jambo
ambalo lina lalamikiwa na wananchi kuwa ni kinyume cha sheria.
Sheria ya Benki Kuu ya
Tanzania ya (BoT) ya mwaka 2006, inabainisha kuwa shilingi ya Tanzania
ndiyo fedha halali kwa malipo ya bidhaa na huduma ikiwamo hotelini,
maduka makubwa, nyumba za kupanga na huduma nyinginezo.
Mwandishi
wetu Faraja Sendegeya ameandaa taarifa hii kuhusu matumizi ya dola
katika biashara ya nyumba za kupanga Jijini Dar Es Salaam.
No comments:
Post a Comment