Sunday, August 23, 2015
SASA HII DUNIA IMEKWISHA!..ONA HAPA MIJIMAMA YATIA AIBU MCHANA KWEUPEE JIJINI DAR KWENYE SHEREHE YA WATOTO!
Wamama
hao walizidi kutia aibu na kuonyesha kuwa akili zao zimefyatuka baada
ya dogo mmoja aliyekuwa akiwachombeza kwa rap kama za msanii Msagasumu
kushika ‘mic’ na kuufanya umati uliokuwa kwenye eneo hilo upigwe butwaa.Minenguo
na mikogo ya mijimama hiyo ilisababisha baadhi ya waungwana waliokuwa
kwenye shughuli hiyo kufumba macho na wengine kuondoka kabisa wakieleza
kuwa kilichokuwa kikifanyika ni kinyume na maadili.“Hee,
hawa akinamama watakuwa wamelaaniwa, ndiyo nini sasa kufanya haya mambo
ya chumbani mbele za watoto? Huu siyo ustaarabu kabisa,” alisema mzee
mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment