leo Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Tluway Sumaye naye ametangaza kujiunga na Umoja wa Vyama vya UKAWA.
Frederick Tluway Sumaye ametumikia miaka kumi kwenye nafasi ya Uwaziri Mkuu wakati Mzee Benjamin William Mkapa akiwa Rais wa Tanzania kuanzia mwaka 1995 mpaka 2005
No comments:
Post a Comment