TATIZOPESA
habari, siasa, live updates, sports, football live streaming
Friday, October 28, 2016
Friday, September 23, 2016
KAMA UMECHAGULIWA UDOM HII INAKUHUSU
Habari wana kwa wale ndugu zangu wa mwaka wa Kwanza mliochaguliwa
katika chuo kikuu cha Dodoma. Kuna mambo ya kuanza
kuzingatia mapema ili kuepusha utata pindi mtakapo anza kuripoti chuoni.
1-Kutoka stand ya mabasi Jamatini mpaka Chuoni nauli ni 400/= lakini
kama utakua na Bag kubwa utalipia 500/= (Lakini Serikali ya Wanafunzi inaandaa utaratibu mzuri wa
mapokezi kuanzia stand).USIPANDE...
Wednesday, June 1, 2016
Picha: Wolper atambulisha ukweni na Harmonize
.
Wikiendi iliyopita hitmaker wa Bado, Harmonize alimpeleka mpenzi wake
Jacqueline Wolper kwao Mtwara alikoenda kutumbuiza kwa mara ya kwanza
tangu aukwae ustaa kupitia label ya WCB.
“Time Ya Kumsaidia mama Harmo Kuanda Chakula Cha Usiku Mtwara Life
@wolperstylish,” aliandika Harmonize kwenye picha inayomuonesha Wolper
akichuma matembele shambani.
Naye Wolper alipost picha akiwa na mama...
Sunday, February 14, 2016
LIST YA SMS ZAIDI YA 200 ZA VALENTINE
Worldwide, Valentine’s Day is a day for lovers.
Traditionally, everyone goes all out to let their special someone knows
how much they are appreciated on this day and everyday. Some will say it
with flowers while others will bring on the bling. Others will get
creative with customized dates while some will play it low-key with an
at-home dinner date and together time. Whatever you...
Monday, January 25, 2016
Idris Sultan Amtundika Mimba Wema Sepetu

Mshindi
wa Big Brother Afrika, Idris Sultan amepasua jipu kuhusu uhusiano wake
na Wema Sepetu ambao umekuwa ukizua utata kila siku huku mashabiki wao
wakiubatiza majina mbalimbali.
Idris ameweka wazi kuhusu hali ya uhusiano wao na namna anavyomchukulia Wema Sepetu kama mkewe.
Kwa mujibu wa maelezo yake, yeye na mrembo huyo wanatarajia kupata mtoto ingawa bado hawajafahamu jinsi...
Subscribe to:
Posts (Atom)