Leo ilikuwa Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim azungumze na Wanahabari asubuhi, ila mkutano huo umehairishwa hadi siku nyingine tena.
Wanachama wa chama cha wananchi CUF walizingira ofisi za chama hicho wakiongozwa na wazee wakitaka kujua hatima ya mwenyekiti wao Prof.Ibrahim Lipumba aliyedawai kutaka kujiuzulu.
Magdalena Sakaya alipoulizwa Prof. Lipumba alitaka kuzungumza nini amejibu hata wao hawajui kitu alichotaka kuwaambia wananchi
Magdalena alisema sababu kubwa ya kusitishwa mkutano huo ni kuwa Wazee wa CUF wametaka kujua kwanza ni kitu gani Mwenyekiti anataka kuongea.
Wananchi nje ya ofisi za CUF walikuwa wanashangilia wakiimba kwa kusema..... "Si mnaona, muziki wa Lipumba kuuzima hamuwezi"
Mmoja
wa Wananchi waliokuwa wanashangilia alisema wamefurahia kwakuwa
wanaamini Mwenyekiti wao Lipumba hatajiuzulu na yuko na wananchi.
Magdalena alisema sababu kubwa ya kusitishwa mkutano huo ni kuwa Wazee wa CUF wametaka kujua kwanza ni kitu gani Mwenyekiti anataka kuongea.
Wananchi nje ya ofisi za CUF walikuwa wanashangilia wakiimba kwa kusema..... "Si mnaona, muziki wa Lipumba kuuzima hamuwezi"
No comments:
Post a Comment